KUUNGA KWA KUTUMIA UMEME (ARC WELDIND)

Fahamu kuhusu uungaji wa Vyuma kwa kutumia umeme
Ni rahisi sana zipo mashine ambazo huwa zinatumia umeme katika kuunga vyuma(Arc Welding),Mashine hizi zipo aina tatu ambazo ni:TRANSFORMER
                   GENERATOR
                   RECTIFIERS
Pia vipo vitu muhimu vinavohitajika katika seemu husika ya kufanya shughuli hii ya uungaji..
-Chanzo cha umeme
-Meza ya chuma
-Brash la waya
-Nyundo ndogo
-Helment inayofunika macho
-Miwani ya kuzuia Chechen
-Ovaloli
-Grove
Hata hivo mashine hutumia Electrode ambayo husaidia kusafirisha nguvu kutoka kwenye mkono wa mashine mpaka katika kipande cha kazi
Electrode zinategemea na aina ya chuma unachounga ambapo kuna..
-Mild steel
-Low hydrogen
-Nonferrous
-Cast Iron
-Stainless steel
Aina hizi za electrode huendana na aina za vyuma cha kuzingatia ni kwamba kila electrode hutumika katika aina maalumu ya chuma chake
zipo saizi mbalimbali za electrode
Kuna :2.5mm  3.2mm and 4.0mm
               VYUMA (Metals)
Tumezoea kuona vyuma pasipo kujua kua kuna aina za vyuma na majina yake ambapo kila chuma huwa kinasifa yake

-MILD STEEL.. Chuma hiki kina 0.2% za ka Carbon na kinatoa cheche nyeupe ndefu ambazo zinaruka 1.7 metre kutoka kwenye grander, Steel zpte zina NASA na SUMAKU

-CAST IRON..Cheche zake huruka 500 mpaka 600mm kutoka kwenye grander.....itaendelea fuatilia blog hii Created by Abuheri Mafingo

Comments

Popular posts from this blog