Fahamu kuhusu uungaji wa Vyuma kwa kutumia umeme Ni rahisi sana zipo mashine ambazo huwa zinatumia umeme katika kuunga vyuma(Arc Welding),Mashine hizi zipo aina tatu ambazo ni:TRANSFORMER GENERATOR RECTIFIERS Pia vipo vitu muhimu vinavohitajika katika seemu husika ya kufanya shughuli hii ya uungaji.. -Chanzo cha umeme -Meza ya chuma -Brash la waya -Nyundo ndogo -Helment inayofunika macho -Miwani ya kuzuia Chechen -Ovaloli -Grove Hata hivo mashine hutumia Electrode ambayo husaidia kusafirisha nguvu kutoka kwenye mkono wa mashine mpaka katika kipande cha kazi Electrode zinategemea na aina ya chuma unachounga ambapo kuna.. -Mild steel -Low hydrogen -Nonferrous -Cast Iron -Stainless steel Aina hizi za electrode huendana na aina za vyuma cha kuzingatia ni kw...
Comments
Post a Comment