UUNGAJI WA MAKENCHI (Trace's)

Uundaji wa makenchi huitaji umakini na utulivu kwani hutumia vipimo sawia ili kuhakikisha yananyooka vizuri ambapo  zipo dizaini mbalimbali za makenchi
-House traces
-Bridge traces
Vipimo hutumika kiumakini zaidi ambapo unaweza kupewa kipimo cha eneo husika na kutumia mahesabu ili kutimiza vipimo vyako ni rahisi ikiwa unafahamu vipimo kwani kuna mambo ya kuzingatia
-hakikisha unatumia vipimo ulivopewa
-Kuwe na vifaa husika kama vile tape measure, Engineere try square, scriber,
-Hakikisha unaanza kuseti mgongo wa kenchi kwanza
Ficial media

Comments

Popular posts from this blog

KUUNGA KWA KUTUMIA UMEME (ARC WELDIND)