Posts

UUNGAJI WA MAKENCHI (Trace's)

Image
Uundaji wa makenchi huitaji umakini na utulivu kwani hutumia vipimo sawia ili kuhakikisha yananyooka vizuri ambapo  zipo dizaini mbalimbali za makenchi -House traces -Bridge traces Vipimo hutumika kiumakini zaidi ambapo unaweza kupewa kipimo cha eneo husika na kutumia mahesabu ili kutimiza vipimo vyako ni rahisi ikiwa unafahamu vipimo kwani kuna mambo ya kuzingatia -hakikisha unatumia vipimo ulivopewa -Kuwe na vifaa husika kama vile tape measure, Engineere try square, scriber, -Hakikisha unaanza kuseti mgongo wa kenchi kwanza Ficial media

engineered steel buildings

Image
At the site, all components are assembled and jointed via nut & bolt connections; thereby reducing the costs and assembly times.

Milango ya kisasa

Image
Fahamu kuhusu urembo katika milango

MADIRISHA

Image
Urembo  tofauti tofauti wa madirisha

KUUNGA KWA KUTUMIA UMEME (ARC WELDIND)

Image
Fahamu kuhusu uungaji wa Vyuma kwa kutumia umeme Ni rahisi sana zipo mashine ambazo huwa zinatumia umeme katika kuunga vyuma(Arc Welding),Mashine hizi zipo aina tatu ambazo ni:TRANSFORMER                    GENERATOR                    RECTIFIERS Pia vipo vitu muhimu vinavohitajika katika seemu husika ya kufanya shughuli hii ya uungaji.. -Chanzo cha umeme -Meza ya chuma -Brash la waya -Nyundo ndogo -Helment inayofunika macho -Miwani ya kuzuia Chechen -Ovaloli -Grove Hata hivo mashine hutumia Electrode ambayo husaidia kusafirisha nguvu kutoka kwenye mkono wa mashine mpaka katika kipande cha kazi Electrode zinategemea na aina ya chuma unachounga ambapo kuna.. -Mild steel -Low hydrogen -Nonferrous -Cast Iron -Stainless steel Aina hizi za electrode huendana na aina za vyuma cha kuzingatia ni kw...

VITANDA VYA CHUMA

Image
Vitanda vyenye ubora kwa maisha marefu