UUNGAJI WA MAKENCHI (Trace's)
![Image](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgVsuWkOFdy1z-Qwo5eqR2i9cuNj2vr4V_a6LtezmoWtCCUv7NboleBISRumj2vBiM0vDyhJXhsvqPMqcvphE2fwJ_ECNXYcZ6-rpF9u1UbkPJSuQa3-CBH7zFJ7O1wKpR9Xb7WwQIm5Gtr/s640/Screenshot_20180612-163554.png)
Uundaji wa makenchi huitaji umakini na utulivu kwani hutumia vipimo sawia ili kuhakikisha yananyooka vizuri ambapo zipo dizaini mbalimbali za makenchi -House traces -Bridge traces Vipimo hutumika kiumakini zaidi ambapo unaweza kupewa kipimo cha eneo husika na kutumia mahesabu ili kutimiza vipimo vyako ni rahisi ikiwa unafahamu vipimo kwani kuna mambo ya kuzingatia -hakikisha unatumia vipimo ulivopewa -Kuwe na vifaa husika kama vile tape measure, Engineere try square, scriber, -Hakikisha unaanza kuseti mgongo wa kenchi kwanza Ficial media